Friday, March 2, 2012

Mafunzo ya Online Journalism kwa waandishi wa Kagera kuhitimkishwa leo

Yatafungwa leo ambapo wanahabari kadhaa wamejifunza mambo mbalimbali ya uandishi wa kwenye mtandao na wote wameweza kufungua blogspot ambazo watazitumia katika shughuli zao za kila siku.






Au GONGA HAPA

No comments:

Post a Comment